Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Chuo cha Maji, Waziri wa TAMISEMI(Mb) Mh. Waziri Suleiman Jaffo, akimkabidhi Cheti Mmoka wa Wahitimu katika Mahafali yaliofanyika Chuo Cha Maji, Dsm, hivi karibuni. Kushoto ni Mkuu wa Chuo, Dr Shija Kazumba.

Sehemu ya Wahitimu waliomaliza Masomo Chuo Cha Maji (WI) Ubungo, Dsm, wakiingia Ukumbini wakati wa Mahafali ya 8 ya Chuo, hivi karibuni.

Sehemu ya Wanafunzi waliomaliza Masomo Chuo Cha Maji (WI) Ubungo, Dsm wakiwa katika Picha ya pamoja, wakati wa Mahafali ya 8 ya Chuo, hivi karibuni.

Watumishi wa Chuo Cha Maji (WI) Ubungo, Dsm wakiwa katika Picha ya pamoja na Menejimenti ya Chuo hicho, wakati wa Mahafali ya 8 ya Chuo, hivi karibuni.

Dr. Shija Kazumba

Rector - Water Institute (WI)

Biography

Student Information

Upcoming Event

Latest News

  • Jul, 5 2018

    INVITATION OF APPLICATIONS FOR ADMISSION TO BACHELOR DEGREE PROGRAM FY 2018/ 2019

Partiners