News

Katika maadhimisho ya wiki ya Maji duniani

Mnamo tarehe 7 ya mwezi wa tatu, tulifanya ziara ya kuwatembelea vijana wa Sekondari ya Rafsanjani Soga iliyopo Wilaya ya Kibaha yenye wanafunzi 1101 kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita.
Tulipata nafasi ya kuzungumza nao mengi juu ya Chuo na Sekta ya Maji kwa ujumla

Posted on 29th March, 2021