News

TANGAZO KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUHITIMU CHUO CHA MAJI MWAKA 2021

Wanafunzi wote wanaotarajia kuhitimu Chuo cha Maji mwaka 2021, wanatakiwa kuhakiki majina yao, yafanane na yaliyopo kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne. Marekebisho yote yatumwe kwa barua pepe kwenda registrar@waterinstitute.ac.tz.

Bonyeza link hapo chini kupakua majina hayo

expected graduands 2021

Posted on 07th October, 2021