News

Upimaji wa eneo kuelekea ujenzi wa Chuo cha Maji Mjini Singida waanza

Mapema leo Wataalamu wa kupima Ardhi kutoka Chuo cha Maji wameungana na Maafisa Ardhi Manispaa ya Singida Mjini kupima eneo la ukubwa wa hekari 30, ambapo patajengwa Chuo cha Maji Mjini Singida. Zoezi hilo ni katika kutekeleza mkakati wa kuanzisha matawi ya Chuo mikoa tofauti nchini.

Posted on 09th February, 2021