News

Katika maadhimisho ya wiki ya Maji duniani

Wakati tukielekea kuadhimisha wiki ya Maji Duniani tarehe 15-22 Machi 2021, tuliendelea kutoa elimu mbalimbali kuhusu Maji na Chuo cha Maji katika jamii. Mnamo tarehe 13 Machi tulikuwepo Bagamoyo, katika Shule ya Sekondari Kingani iliyopo kata ya Kisutu wilayani humo. Tuliongea na Vijana ili nao wakaelimishe jamii yao umuhimu wa kutunza rasilimali za maji,

Posted on 29th March, 2021