Hatimaye mali na eneo la Chuo cha Maji ndani ya Bwawa la Nyumba ya Mungu vyarudi rasmi katika miliki ya Chuo
Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika ngazi ya Stashahada akikabidhiwa zawadi na Mgeni Rasmi Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso katika Mahafali ya 12 ya Chuo Cha Maji.
Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) Katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika katika Viwanja vya Mlimani City.
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Maji wakiwa kwenye Mahafali ya 12 ya Chuo yaliyofanyika katika viwanja vya Mlimani City.
Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso akiongea na wafanyakazi wa Chuo cha Maji hawapo Pichani
Mkuu wa Chuo akikabidhi Mkataba kati ya Chuo na Shirika lisilo la Kiserikali SHIPO la Mjini Njombe