News

TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA TAMISEMI KUJIUNGA NA CHUO CHA MAJI MWAKA WA MASOMO 2020/2021

WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA NA SERIKALI KUPITIA TAMISEMI KUJIUNGA NA CHUO CHA MAJI, MNATAARIFIWA KUFANYA UTHIBITISHO KUPITIA KIUNGANISHI KINACHOITWA UTHIBTISHO TAMISEMI KATIKA TOVUTI YA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI AMBAYO NI www.nacte.go.tz ILI KUKUBALI KUCHAGULIWA KATIKA CHUO CHA MAJI.

Posted on 24th June, 2020