News

Timu ya wataalamu kutoka NACTE wakikagua miundombinu ya Chuo cha Maji

Jana tarehe 20/04/2021 Chuo cha Maji kilipokea Timu ya wataalamu kutoka NACTE, ambao walifika Chuoni hapo kukagua miundombinu ya Chuo hicho.

Posted on 21st April, 2021