News

DR. ADAM O. KARIA ATEULIWA KUWA MKUU WA CHUO CHA MAJI

Mkuu wa Chuo cha Maji mteule Dr. Adam O. Karia, alikuwa kaimu Mkuu wa Chuo hicho tangu September 2019 baada ya aliyekua Mkuu wa Chuo Dr. Shija Kazumba kumaliza muda wake.

Posted on 21st January, 2020