Wadau wafanya mapitio ya mitaala ya Chuo cha Maji

Picha ya pamoja ya wadau wa Chuo cha Maji walioshiriki kikao kazi cha mapitio ya kuboresha mitaala ya fani za Stashahada (Ordinary Diploma) zinazotolewa katika Chuo cha Maji. Lengo la mapitio haya ni kuhakikisha kuwa mitaala hii inaendana na uhitaji wa soko na kumuandaa mwanafunzi kuweza kuajiriwa na kujiajiri katika ufanisi wa hali ya juu.
Kikao hiki kinafanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza tarehe 13/04/2023.
Posted on 13th April, 2023