Picha ya Balozi wa Japan nchini Mheshimiwa Yashushi Misawa (wa kwanza kushoto), akiwa na Mkuu wa Chuo cha Maji Dkt. Adam O. Karia (wapili kushoto) wakati wa hafla ya makabidhiano ya mtambo wa kuchuja Floride kwa Wakazi wa Kijiji cha Lemanda Mkoani Arusha.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya 5 ya Chuo cha Maji wakati wa Uzinduzi wa Bodi hiyo.
Wafanyakazi wa Chuo cha Maji wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa Bodi ya 5 ya Chuo.
Picha ya pamoja ya Wanafunzi waliofanya vizuri na mgeni rasmi Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) katika mahafali ya 46 ya Chuo cha Maji yalioyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Bodi ya Chuo, katika kikao cha Bodi na menejimenti ya Chuo cha Maji kilichofanyika Chuo cha Maji kampasi ya Singida
Wafanyakazi wa Chuo cha Maji wakipiga picha ya pamoja katika Mkutano wa Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile uliofanyika jijini Dar es salaam.