Taarifa kwa Wahitimu wote wa Mwaka 2023/24

Tunapenda kuwaarifu wahitimu wote wa mwaka 2023/24 kuwa unatakiwa kupakua na kupitia kwa makini orodha wahitimu, na pia kuhakiki taarifa zako kama zipo sahihi kwa ajili ya Transcript na Cheti, marekebisho yeyote unapaswa kuyafanya kupitia mfumo wa SIMS.

Iwapo utagundua kosa lolote katika orodha, au ukakosa jina lako, tafadhali toa taarifa mara moja kwa kutuma barua pepe kwenye anwani ya dass@waterinstitute.ac.tz.

Mwisho wa kutuma taarifa ni tarehe 17/10/2024

Pakua