Tunapenda kuwaarifu wahitimu wote wa mwaka 2023/24 kuwa unatakiwa
kupakua na kupitia kwa makini orodha wahitimu, na pia kuhakiki taarifa
zako kama zipo sahihi kwa ajili ya Transcript na Cheti, marekebisho
yeyote unapaswa kuyafanya kupitia mfumo wa SIMS.
Iwapo utagundua
kosa lolote katika orodha, au ukakosa jina lako, tafadhali toa taarifa
mara moja kwa kutuma barua pepe kwenye anwani ya
dass@waterinstitute.ac.tz.