MGAWANYO WA ULIPAJI WA ADA KWA MWAKA 2022/2023

Mkuu wa Chuo cha Maji anawatangazia wanafunzi wote kuwa Chuo kimefanya mapitio ya mgawanyo wa malipo ya ada na kuboresha kutoka kwenye malipo ya awamu mbili (2) hadi nne (4). Lengo ni kuwezesha wanafunzi wetu kumudu kuendelea na masomo kwa kulipa ada kwa njia rahisi zaidi. Bonyeza link kupakua mgawanyiko wa ulipaji ada kwa mwaka 2022/23.

Bonyeza kupakua