News

Prof. Jamal Katundu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha IHE Delft Institute for Water Education

Katibu Mkuu wa Wizara ya Prof. Jamal Katundu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha IHE Delft Institute for Water Education leo tarehe 1 Februari 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam wakati wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Kisayansi la Maji. Mazungunzo hayo yamelenga mashirikano kati ya Wizara ya Maji na Chuo cha IHE Delft Institute for Water Education kupitia Chuo cha Maji. Tunategemea mashirikiano hayo yataleta tija katika kuboresha huduma za Maji nchini.

Posted on 01st February, 2024