Wanafunzi wa Kidato cha Nne Waliochaguliwa Kujiunga Chuo cha Maji

Majina
ya Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne mwaka 2021 waliopangiwa na TAMISEMI
kujiunga na kozi mbalimbali za Chuo cha Maji. Utaratibu wa kuthibitisha na
kupata fomu ya Chuo utatolewa mara punde utakapofafanuliwa na Baraza la Taifa
la Ufundi (NACTE).
Tunawapongeza
na kuwakaribisha wale wote waliopangiwa Chuo cha Maji. Karibuni sana. Bofya
hapa kupata majina hayo
https://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents...
Bofya https://www.wi-water.co.tz/ KUTHIBITISHA
kwamba utahudhuria Masomo CHUO CHA MAJI.
Posted on 13th May, 2022